Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Eris (sayari kibete) - Wikipedia

Eris (sayari kibete)

From Wikipedia

Picha ya Eris na mwezi wake
Picha ya Eris na mwezi wake

Eris (pia (136199) Eris au 136199 Eris) ni sayari kibete kubwa inayojulikana katika mfumo wa jua letu.

Picha inaonyesha mwendo wa Eris kwenye picha zilizopigwa kwa darubini ya anga ya Mt. Palomar. Eris ni ile nukta ndogo inayochezacheza upande wa kushoto juu ya mstari wa katikati ya picha. Mwendo unaoonekana ni mabadiliko ya mahali pa Eris angani katika muda wa masaa matatu. Nukta nyingine ni nyota tu zinazokaa mahali pamoja.
Picha inaonyesha mwendo wa Eris kwenye picha zilizopigwa kwa darubini ya anga ya Mt. Palomar. Eris ni ile nukta ndogo inayochezacheza upande wa kushoto juu ya mstari wa katikati ya picha. Mwendo unaoonekana ni mabadiliko ya mahali pa Eris angani katika muda wa masaa matatu. Nukta nyingine ni nyota tu zinazokaa mahali pamoja.

Contents

[edit] Tabia ze Eris

Njia yake ya kuzunguka jua ni nje ya njia ya Pluto. Eros inaonekana ina angalau mwezi mmoja unaoitwa Dysnomia. Makadirio ya kipenyo chake ni 2400 km ambacho ni kikubwa kidogo kuliko Pluto. Inazunguka jua katika muda wa miaka 556.7 ya dunia. Umbali wake na jua ni mara 97 umbali wa dunia yetu. Kutoka Eris hata jua letu laonekana kama nyota ndogo tu.

[edit] Kutambuliwa kwa Eris

Eris ilitambuliwa 2005 na wanafalaki walioongozwa na Dr. Michael E. Brown kwenye kituo cha darubini ya anga cha Mount Palomar (Marekani). Walichungulia picha za anga zilizopigwa mwaka 2003 wakatambua nukta ya anga lililobadilika mahali.

[edit] Eris ni chanzo cha utaratibu wa "Sayari Kibete"

Kutambuliwa kwa Eris kulisababisha wanafalaki kuanzisha kitengo kipya cha "sayari kibete". Brown aliwahi kutangaza Eris kuwa sayari ya kumi ya jua letu. Lakini wataalamu wengine waliona uwezekano mkubwa ya kwamba magimba mengine ya kufanana na Eris watapatikana karibuni. Maana ya neno "sayari" kwa kulingana na sayari za ndani ilihofiwa kutavurugika. Hivyo utaratibu wa sayari kibete ulianzishwa.

Hivyo Eris ilikuwa sababu ya kushushwa kwa cheo cha Pluto ambayo ni ndogo kuliko Eris.


[edit] Viungo vya Nje

[edit] Habari magazetini

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com