1932
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 17 Agosti - Vidiadhar Naipaul (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2001)
- 17 Agosti - Abebe Bikila (mwanariadha Mhabeshi)
- 2 Novemba - Melvin Schwartz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988)
[edit] Waliofariki
- 7 Machi - Aristide Briand (Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926)
- 4 Aprili - Wilhelm Ostwald (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909)
- 16 Septemba - Sir Ronald Ross (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1902)