1868
From Wikipedia
[edit] Matukio
- 11 Juni - Tekle Giyorgis II alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi.
[edit] Waliozaliwa
- 22 Machi - Robert Millikan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923)
- 14 Juni - Karl Landsteiner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930)
- 9 Desemba - Fritz Haber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918)
[edit] Waliofariki
- 13 Aprili - Tewodros II, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi