1908
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 23 Mei - John Bardeen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972)
- 31 Agosti - William Saroyan (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa)
- 23 Oktoba - Ilya Frank (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
[edit] Waliofariki
- 22 Julai - Randal Cremer (kiongozi Mwingereza wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1903)
- 25 Agosti - Antoine Henri Becquerel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1903)