Yoshihito
From Wikipedia
Yoshihito (31 Agosti, 1879 – 25 Desemba, 1926) alikuwa mfalme mkuu (Tenno) wa Japani. Alimfuata baba yake, Mutsuhito, tarehe 13 Juni, 1912 na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Hirohito.