6 Agosti
From Wikipedia
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[edit] Matukio
- 1926 - Gertrude Ederle ni mwanamke wa kwanza kuvuka mlangobahari kati ya Uingereza na Ufaransa kwa kuogelea.
- 1945 - Bomu la atomu la kwanza linatupwa na jeshi la anga la Marekani kwenye mji wa Hiroshima (Japani). Watu 70.000 wanakufa mara moja, jumla ya wafu kutokana na majeruhi na mnururisho itafikia idadi ya watu 240.000.
- 1962 Uhuru wa Jamaika kutoka Uingereza