Rabindranath Tagore
From Wikipedia
Rabindranath Tagore (7 Mei, 1861 – 7 Agosti, 1941) alikuwa mwandishi na mwanafalsafa kutoka nchi ya Uhindi. Tagore ni mwakilishi mkuu wa fasihi ya Kihindi ya kisasa. Pia alitafuta mawasiliano ya kitamaduni na Ulaya na Marekani ambako amesafari mara kadhaa. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.