Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Haiti - Wikipedia

Haiti

From Wikipedia

Kikreoli: Repiblik d Ayiti
Kifaransa: République d'Haïti''

Jamhuri ya Haiti
Flag of Haiti Nembo ya Haiti
Bendera Nembo
Wito la taifa: L'Union Fait La Force
("Umoja ni nguvu")
Wimbo wa taifa: La Dessalinienne
Lokeshen ya Haiti
Mji mkuu Port-au-Prince
18°32′ N 72°20′ W
Mji mkubwa nchini Port-au-Prince
Lugha rasmi Kifaransa and Kikreoli cha haiti, Kihispania (si rasmi)
Serikali
Rais
Waziri Mkuu
Jamhuri
René Préval
Jacques-Edouard Alexis
Uhuru
kutoka Ufaransa
1 Januari 1804
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
27,750 km² (ya 147)
0.7
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 1982 sensa
 - Msongamano wa watu
 
8,528,0001 (ya 88)
5,053,792
292.7/km² (ya 39)
Fedha Gourde (HTG)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-5)
(UTC-4)
Intaneti TLD .ht
Kodi ya simu +509
Ramani ya Haiti
Ramani ya Haiti

Haiti ni nchi kwenye kisiwa cha Karibi cha Hispaniola. Mji mkuu ni Port-au-Prince. Eneo la Haiti ni takriban theluthi moja ya Hispaniola yote. Sehemu nyingine ya kisiwa ni nchi jirani ya Jamhuri ya Dominika.

Haiti ni nchi ya kwanza duniani ambako watumwa Waafrika walifaulu kupindua utumwa na kujipatia uhuru kutoka Ufaransa mwaka 1804.

Jina la "Haiti" lina asili katika lugha ya Kitaino ya wakazi asilia lamaanisha "nchi ya milima" na ni kweli kisiwa pama milima mingi. Haiti ni kati ya nchi maskini kabisa duniani na nchi maskini zaidi Amerika kote.

Nchi ina wilaya kumik. Kuna lugha rasmi mbili moja ni Kifaransa na nyingine Kikreoli ya Haiti ("Kweyol"). Wakazi wengi ni Wakristo wakatoliki lakini wengi hufuata vilevile dini ya vudu inayotoka na imani za jadi kutoka Afrika ya Magharibi.

Contents

[edit] Historia

[edit] Mianzo na ukoloni wa Hispania

Wakazi asilia walikuwa Waindio Waarawak. Baada ya kufika kwa Kristoforo Kolumbus na utawala wa Hispania idadi yao ilipungua haraka kutokana na magonjwa ya Ulaya ambayo hawakuzoea na kukosa kinga dhidi yao na pia kutokana kutendewa vibaya kwa unyama na mabwana wapya. Mnamo mwaka 1600 Waindio wachache tu walibaki kutoka malakhi wakati wa Kolumbus wakapotea kabisa kwa njia ya kuoa au kuolewa na wazungu na weusi. Wahispania walianzisha mashamba kwa kazi ya watumwa kutoka Afrika.

[edit] Ukoloni wa Ufaransa

Katika karne ya 17 Wafaransa walifika kisiwani wakanunua theluthi moja ya kisiwa wakaiita "Saint-Domingue" kilichokuwa baadaye Haiti. Wafaransa walileta watumwa wengi kutoka Afrika na kujenga uchumi wa mashamba makubwa hasa ya miwa. Koloni ya Saint-Domingue ilikuwa koloni tajiri ya Ufaransa katika Amerika.

[edit] Mapinduzi ya Ufaransa

Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa 1789 koloni ilikuwa na wakazi wa aina nne:

  • Wazungu hasa Wafaransa waliokuwa mabwana lakini waliokuwa na tofauti kubwa kati yao wengine tajiri sana wengine maskini -jumla takriban watu 32,000
  • chotara na weusi huru ambao walikuwa raia wa daraja ya pili; wengine walikuwa matajiri na mabwana wa mashamba na pia wa watumwa - jumla watu 28,000
  • watumwa wa asili ya Kiafrika - jumla watu 500,000
  • Wamaroni walikuwa watumwa wakimbizi walioishi mlimani katika pori - idadi yao haijulikana hawakuwa wengi.

Mapinduzi ya Ufaransa na kutangaziwa kwa haki za kibinadamu vilisababisha matumaini ya chotara wenye mali ya kukubaliwa kama raia kamili wenye haki ya kupiga kura. Wenyewe hawakutegemea kumaliza utumwa uliokuwa msingi wa uchumi. Lakini matumaini yao yalishindikana wakakataliwa na watawala kisiwani.

Toussaint L'Ouverture kiongozi wa uhuru wa Haiti
Toussaint L'Ouverture kiongozi wa uhuru wa Haiti

[edit] Mapinduzi ya Haiti

Sehemu ya matajiri kati ya Wazungu walitaka kujitenga na Ufaransa kwa msaada wa Uingereza na Hispania wakichukia mapinduzi katika Ufaransa. Watumwa na weusi huru wenye elimu walifuata habari hizi wakaogopa ya kwamba utawala wa mabwana hawa bila sheria za Ufaransa uatkuwa vibaya zaidi kuliko hali jinsi ilivyokuwa wakaanza mapinduzi.

Kiongozi wao alikuwa Toussaint L'Ouverture aliyefaulu kushika serikali ya koloni tangu 1798. Awali alipigania jeshi la Ufaransa; baada ya bunge la Paris kutangaza mwisho wa utumwa alishirikianna na Ufaransa dhidi ya jeshi la mabwana wenye shamba waliotaka kuendeleza utumwa katika nchi ya kujitegemea.

Toussaint L'Ouverture alishinda pia Waingereza waliotaka kuwasaidia wapinzani Wafaransa wa Paris na 1801 akateka kaskazini ya kisiwa iliyokuwa eneo la Kihispania na kutawala Hispaniola yote akitangaza kote mwisho wa utumwa.

Lakini mmnamo mwaka 1802 siasa ya Paris ilibadilika na mtawala Napoleon Bonaparte aliamua kurudisha Hispaniola kwa hali ya awali akatuma jeshi kubwa la askari 40,000. L'Ouverture alikamatwa alipokubali kushauriana na jenerali Mfaransa akapelekwa kama mfungwa Ulaya. Lakini makamu wake Jean-Jacques Dessalines aliposikia khusu mipango ya Ufaransa ya kurudisha utumwa alianza vita upya. Katika vita vikali Wafaransa walishindwa na Dessalines alitangaza uhuru wa koloni tarehe 1 Januari 1804 kwa jina la "Haiti" kama "Jamhuri ya watu weusi".

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Haiti" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Haiti kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com