1944
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 9 Februari - Alice Walker (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1983)
- 19 Oktoba - Peter Tosh (mwanamuziki wa rege)
[edit] Waliofariki
- 23 Oktoba - Charles Glover Barkla (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1917)
- 5 Novemba - Alexis Carrel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1912)
- 30 Desemba - Romain Rolland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1915)