1922
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 13 Aprili - Julius Nyerere (Rais wa kwanza, "Mwalimu" na "Baba wa Taifa" wa Tanzania)
- 22 Septemba - Chen Ning Yang (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957)
- 16 Novemba - Jose Saramago (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1998)
[edit] Waliofariki
- 22 Januari - Fredrik Bajer (mwanasiasa Mdenmark, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 18 Mei - Alphonse Laveran (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907)
- 2 Agosti - Alexander Graham Bell (mgunduzi wa mawasiliano ya simu)