1862
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 28 Machi - Aristide Briand (Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926)
- 5 Juni - Allvar Gullstrand (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911)
- 7 Juni - Philipp Lenard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905)
- 29 Agosti - Maurice Maeterlinck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1911)
- 4 Septemba - Carl Velten (mkusanyaji wa hadithi za Kiswahili)
- 25 Septemba - Billy Hughes (Waziri Mkuu wa Australia)
- 15 Novemba - Gerhart Hauptmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1912)