Gabriela Mistral
From Wikipedia
Gabriela Mistral (6 Aprili, 1889 – 10 Januari, 1957) alikuwa mwandishi na mshairi wa kike kutoka nchi ya Chile. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lucila Godoy Alcayaga. Hasa aliuandikia upendo katika mashairi yake. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.