Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Addis Ababa - Wikipedia

Addis Ababa

From Wikipedia

Ramani ya Ethiopia ikionyesha Addis Ababa (ponti nyekundu).
Ramani ya Ethiopia ikionyesha Addis Ababa (ponti nyekundu).
Addis Ababa, inavyo onekana kutoka anga.
Addis Ababa, inavyo onekana kutoka anga.

Addis Ababa (pia Addis Abeba; Kiamhara አዲስ አበባ, "Maua mpya"; Kioromo Finfinne) ni Mji Mkuu wa Ethiopia. Ni Mji mkataba (ras gez astedader), Addis Ababa ina cheo cha Mji na kama Jimbo. Mji wenyewe una watu ukoo 80, wakiongea lugha 80, na jamii za Waislamu na Wachristu. Addis Ababa imekwea 2,500m juu ya Usawa wa Bahari kwa Template:Coor d). [1]


Eneo hii ilichaguliwa na Malkia Taytu Betul na Mji kuanzishwa mwaka wa 1886 na bwana yake, Mfalme Menelik II, na sasa mji huu una umma milioni nne, na asilimia nane ya ukuzi wa uchumi.

Mji huu uko kwa tako la Mlima Entoto, na nimakazi maalum ya Chuo Kikuu cha Addis Ababa. Chuo Kikuu cha Addis Ababa kilijulikana kama Chuo Kikuu cha Haile Selassie I, kutokana na jina la Mfalme wa mwisho wa Ethiopia, ambaye alitoa jumba ya mfalme (Jumba Guenete Leul) iwe makao maalum ya Chuo Kuu ya Addis ababa mwaka wa 1961.

Contents

[edit] Historia

Addis Ababa ilianzwa na Mfalme wa Ethiopia Menelik II. Menelik, kama mfalme wa Shewa, aligundua mlima Entoto kama kambi nzuri sana ya jeshi ili kumiliki upande wa kusini, na mwaka wa 1879 alitemembea kwa mibomoko ya kale ya mji huu, na kuona kanisa ambayo ujenzi haukuwa umemalizwa, kuthibati kua Waithiopia waliishi kwa mji huu kabla ya vita za Ahmad Gragn. Masilahi ya Menelik wa pili iliongezeka, Mke wake alipoanza kazi ya ujezi wa kanisa eneo Entoto, na Menelik kuamri kanisa la pili eneo hiyo. Lakini eneo hiyo haikutua kuwa mji haraka kwa sababu ya ukosefu wa kuni na maji, na makazi hasa ilianzia kwa bonde kusini mwa mlima mwaka wa 1886. Mwanzo, Taytu alijijengea nyumba karibu na "Filwoha" chemchem moto iliyo na madini, ambayo ya julikana na waenyeji Waoromo kama Finfinne, Malkia Taytu na watumishi Washowan wa kifalme walipenda sana kuoga kwa maji hayo ilionamadini. Washarifu wengine na Watumishi na mali yao, wao pia walikaa sehemu hii, na menelik kuongeza jumba la Mke wake, ili iwe Jumba Rasmi la Miliki ambayo ndio makazi rqasmi ya serikali Addis Ababa mbaka wa leo. Menelik wa pili kaanza Addis Ababa kama Mji Mkuu wa Ethiopia. Moja wapo ya maendeleo Menelik alifanya nikama, kupanda miti ya eucalyptus kwa mitaa kando ya barabara.

Mwaka wa 1936, Jeshi la Waitaliano lilitwaa Addis Ababa kwa Vita vya Pili vya Waitaliano na Wahebeshi, na kuifanya Addis Ababa Mji Mkuu Italia Ya Afrika Mashariki. Addis Ababa iliongozwa na govana Magavan Waitaliano wa Addis Ababa kutoka mwaka wa 1936 mpaka 1939. Baadaye Waitaliano kwa kupingwa na wazalendo wa Ethiopia, na pia kushidwa vita na Waithiopia kwa usaidizi wa Waiingereza kwa kampeni ya Afrika Mashariki na pia ukombozi wa Ethiopia, Mfalme Haile Selassie alirudi Addis Ababa mnamo Mai 5, 1941 -- Baada ya miaka mitano kamili, na kuanza kazi ya kuendeleza Mji Mkuu, Addis Ababa.

Emperor Haile Selassie helped form the Organization of African Unity in 1963, and invited the new organization to maintain its headquarters in the city. The OAU was dissolved in 2002 and replaced by the African Union (AU), also headquartered in Addis Ababa. The United Nations Economic Commission for Africa also has its headquarters in Addis Ababa. Addis Ababa was also the site of the Council of the Oriental Orthodox Churches in 1965.

[edit] Ukoo

Zaidi ya asilimia 51% ni wanawake.
Zaidi ya asilimia 51% ni wanawake.


[edit] Uchumi

[edit] Maelekezo

Addis Ababa Majengo Kutoka: whileseated.org
Addis Ababa Majengo Kutoka: whileseated.org

[edit] Usafirishaji

[edit] Uchambuzi

[edit] Viungo via nnje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com