9 Juni
From Wikipedia
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[edit] Matukio
- 68 - Kaisari wa Roma, Nero anajiua.
- 1534 - Jacques Cartier ni Mzungu wa kwanza kugundua mto wa St. Lawrence.
- 1815 - Mwisho wa Mkutano wa Vienna uliorekebisha hali ya siasa ya Ulaya.
- 1856 - Wamormoni 500 wanatoka mji wa Iowa City katika jimbo la Iowa na kuelekea magharibi kwenda mji wa Salt Lake City katika jimbo la Utah wakibeba mali zao zote kwenye mikokoteni.
[edit] Waliozaliwa
- 1843 - Bertha von Suttner (mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905)
- 1875 - Henry Dale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936)
[edit] Waliofariki
- 1974 - Miguel Asturias (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1967)
- 1987 - Elijah Masinde
- 1989 - George Beadle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)