1843
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 21 Mei - Louis Renault (mwanasheria Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1907)
- 9 Juni - Bertha von Suttner (mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905)
- 11 Desemba - Robert Koch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1905)