Paul Eluard
From Wikipedia
Paul Éluard (14 Desemba, 1895 – 18 Novemba, 1952) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Eugène Grindel. Aliandika hasa mashairi, na katika maandishi yake ya kisiasa alimsifu Stalin.