Kislavoni cha Magharibi
From Wikipedia
![Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Magharibi ni lugha rasmi; Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Mashariki ni lugha rasmi; Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Kusini ni lugha rasmi](../../../upload/shared/thumb/7/7d/Slavic_europe.png/275px-Slavic_europe.png)
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Magharibi ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Mashariki ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Kusini ni lugha rasmi
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Mashariki ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Kusini ni lugha rasmi
Kislavoni cha Magharibi ni kundi la lugha za Kislavoni zinazozungumzwa katika Ulaya ya Kati-Mashariki.
Ni hasa lugha tatu za kitaifa ambazo ni
Kuna tena lugha mbili za kieneo na wasemaji waliobaki ni wachache:
- Kisorbia katika Ujerumani ya Mashariki kusini ya Berlin
- Kikashubi katika Poland ya Kaskazini karibu na mji wa Gdansk.
Kuna kumbukumbu ya kihistoria ya lugha za ziada katika familia hii lakini hakuna wasemaji tena ni lugha za kihistoria tu.
Lugha za Kislavoni cha Magharibi huandikwa kwa alfabeti ya Kilatini.