Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Alcuin Mtakatifu - Wikipedia

Alcuin Mtakatifu

From Wikipedia

Alkuin (mnamo 73219 Mei, 804) alikuwa mtaalamu mkuu wakati wa enzi ya Karoli Mkuu. Alizaliwa karibu na mji wa York kule Uingereza ambapo alikuwa mwalimu mkuu wa shule ya Kanisa Kuu kwa miaka mingi. Mwaka wa 781 alisafiri Italia na kumkuta mfalme Karoli aliyemwalika kuwa mwalimu katika kitala chake kule mji wa Aachen. Huko Alkuin alianzisha chuo kilichohudhuriwa hata na Karoli Mkuu mwenyewe na familia yake. Kupitia chuo hicho elimu iliboreshwa na shule nyingi zilianzishwa katika ufalme mzima. Mwaka wa 796 Alkuin alitoka Aachen kwenda mji wa Tours ambapo alikuwa mkuu wa watawa mpaka kifo chake.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com