22 Novemba
From Wikipedia
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[edit] Matukio
- 1497 - Vasco da Gama anapita ncha ya Kusini ya Afrika katika safari yake kutoka Ureno kwenda Uhindi.
[edit] Waliozaliwa
- 1869 - Andre Gide (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1947)
[edit] Waliofariki
- 1963 - John F. Kennedy (Rais wa Marekani) aliuawa.
- 1981 - Hans Krebs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953)