1924
From Wikipedia
[edit] Matukio
- 3 Machi - Uongonzi wa Khalifa umepinduliwa na Kemal Atatürk.
[edit] Waliozaliwa
- 22 Agosti - James Kirkwood (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976)
- 2 Septemba - Daniel arap Moi, Rais wa pili wa Kenya
[edit] Waliofariki
- 3 Februari - Woodrow Wilson (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919)
- 12 Oktoba - Anatole France (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1921)
- 29 Desemba - Carl Spitteler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1919)