Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
William Tyndale - Wikipedia

William Tyndale

From Wikipedia

William Tyndale
William Tyndale
William Tyndale akifungwa mtini kabla ya kuchomwa motoni baada ya kunyongwa. Mdomoni maneno yake "Lord, ope the King of England's eies"
William Tyndale akifungwa mtini kabla ya kuchomwa motoni baada ya kunyongwa. Mdomoni maneno yake "Lord, ope the King of England's eies"
The Gospell off Sancte Jhon - The fyrst chapter.
The Gospell off Sancte Jhon - The fyrst chapter.

William Tyndale alikuwa mwanatheolojia Mwingereza, kasisi ya kanisa na mtaalamu aliyetafsiri Biblia mara ya kwanza katika Kiingereza cha kisasa. Alizaliwa huko Gloucestershire mnamo mwaka 1494 - aliuawa Vilvoorde (Brabant - Ubelgiji ya leo) tarehe 6.10.1536. Tafsiri yake ya Biblia ilikuwa toleo la kwanza lililochapishwa kwa kutumia mitambo mapya ya uchapaji vitabu.

Mawazo yake yalipingwa kwa nguvu zote na watawala na watu wa dini yalionekana kama upinzani wa kidini hivyo aliamua kukimbilia Ujerumani kwa usalama wake, huko alitafuta mchapishaji aliyetoa nakala ya kwanza ya Agano Jipya kwa lugha ya kingereza nakufuatiwa baadaye na agano la kale.

Askofu Kardinali Wolsey alimtangaza kuwa mzushi. Lakini ilikuwa tendo la kupinga ndoa na talaka za mfalme wa Uingereza Henry VIII ilikuwa sababu ya kifo chake. Henry VIII alikasirika juu ya Tyndale akamwomba Kaisari Karl V wa Ujerumani kumkamata. Tyndale alishikwa huko Brussels (mji chini ya Kaisari wakati ule) akasoimamishwa mbele ya mahakama iliyotoa hukumu ya mauti wka sababu ya uzushi dhidi ya kanisa katoliki. Katika mji wa Vilvoorde penye gereza lake alifungwa mtini akachongwa na mwili wake kuchomwa motoni.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com