Wafipa
From Wikipedia
Wafipa ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Rukwa, hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Lugha yao ni Kifipa.
Makala hiyo kuhusu "Wafipa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wafipa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |