Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Mkoa wa Rukwa - Wikipedia

Mkoa wa Rukwa

From Wikipedia

Mkoa wa Rukwa katika Tanzania
Mkoa wa Rukwa katika Tanzania

Rukwa ni kati ya mikoa 26 za Tanzania ikipakana na mikoa ya Kigoma na Tabora upande wa Kaskazini, mkoa wa Mbeya upande wa mashariki, Zambia kusini na upande wa magharibi Ziwa la Tanganyika lililopo pia mpaka na Kongo. Makao makuu ya mkoa ndipo Sumbawanga.

Eneo la mkoa ni takriban 70,000 km². Kusini mwa mkoa liko ziwa la Rukwa ambalo ni kati maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki.

[edit] Wakazi

Kuna wakazi 1,141,743 (sensa 2002). Wilaya nne ndizo (idadi ya wakazi katika mabano): Sumbawanga Mjini (147,483), Sumbawanga Vijijini (373,080), Mpanda (412,683) na Nkansi (208,497). Kabila kuwba zaidi mkoani ndio Wafipa walioko hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Kati ya makabila mengine ni Wabende, Wapimbwe, Warungwa na Wakonongo katika wilaya ya Mpanda; Wamambwe-Lungu, Wawanda na Wanyamwanga katika wilaya ya Sumbawanga; kuna pia Wasukuma, Wanyamwezi na Wamassai.

[edit] Viungo vya nje

Matokeo ya sensa 2002: en [[1]]

Makabila na lugha za Tanzania: en [[2]]


 
Mikoa ya Tanzania
Bandera Tanzania
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi |
Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Mkoa wa Rukwa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Mkoa wa Rukwa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Lugha nyingine
Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com