Vicente Aleixandre
From Wikipedia
Vicente Aleixandre (26 Aprili, 1898 – 14 Desemba, 1984) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Hispania. Mwaka wa 1977 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.