Sheldon Glashow
From Wikipedia
Sheldon Lee Glashow (amezaliwa 5 Desemba, 1932) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku. Mwaka wa 1979, pamoja na Abdus Salam na Steven Weinberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.