Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Kishoroba cha Caprivi - Wikipedia

Kishoroba cha Caprivi

From Wikipedia

Ramani ya Kishoroba ya Caprivi ("Caprivizipfel")
Ramani ya Kishoroba ya Caprivi ("Caprivizipfel")

Kishoroba cha Caprivi ni kanda nyembamba ya eneo la Namibia inayoelekea mashariki kwenye pembe la kaskazini-mashariki kabisa ya nchi Namibia kati ya Botswana upande wa kusini na Angola pamoja na Zambia upande wa kaskazini. Kishoroba kina urefu ta 450 km, upana ni mara nyingi 30 km pekee.

[edit] Utawala

Kiutawala kishoroba imegawanyika kati ya mikoa ya Caprivi and Okavango ya Jamhuri ya Namibia. Mji mkubwa ni Katima Mulilo ambao ni makao makuu ya mkoa wa Caprivi.

[edit] Historia

Jina la Caprivi limetokana na Chansella wa Ujerumani Leo von Caprivi aliyekuwa mkuu wa serikali ya Dola la Ujerumani wakati wa Mkataba wa Ujerumani na Uingereza wa 1890 unaoitwa "Mkataba wa Helgoland-Zanzibar". Ilipataniwa ya kwamba Ujerumani inapata kishoroba cha nchi hadi mto Zambezi chenye upana "usiopungua maili 20".

Wakati ule Ujerumani ulitaka njia ya mawasiliano kati ya Namibia na mto Zambezi. Ilidhaniwa ya kwamba kuna uwezekano kutumia mto Zambezi kwa ajili ya usafiri na kupata njia ya maji kati ya Namibia na Bahari Hindi. Dhana hili lilikuwa kosa na kwa muda mrefu eneo la Caprivi ilikuwa na mawasiliano tu kupitia Zambia. Siku hizi kuna barabara ya lami hadi Katima Mulilo.

Miaka mingi wa vita ya kupigania uhuu wa Namibia na baadaye vita katika Angola eneo la kishoroba lilikuwa eneo lililofungwa kwa mawasiliano yasiyo ya kijeshi. Tangu mwisho wa vita ya wenyewe kwa wenyewe Angola na kujengwa kwa barabara watu wa caprivi wanaweza kusafiri kwa rahisi na wageni wanaweza kufika bila matatizo.

Tangu 1994 kuna "Harakati ya Ukombozi wa Caprivi" ni kundi kati ya Walozi wa Caprivi wanaopendelea umoja na Walozi wenzao huko Zambia wakitafuta hali ya kujitawala kwa eneo lao. Mwaka 1999 ilitokea ghasia katika mashariki ya Caprivi na mapigano kati ya wanamigambo Walozi na jeshi la serikali.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com