Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Bendera ya Uswazi - Wikipedia

Bendera ya Uswazi

From Wikipedia

Bendera ya Uswazi
Bendera ya Uswazi

Bendera ya Uswazi ina milia ya rangi za buluu, njano na nyekundu. Katikati iko ngao ya kijeshi ya kiafrika chenye rangi za nyeusi na nyeupe pamoja na mikuki ya njano.

Upana wa milia ni katika uhusiano wa 3:1:8:1:3. Rangi zina maana ifuatayo:

  • Nyekundu hukumusha damu iliyomwagika katika vita za nyakati zilizopita
  • Njano hudokeza utajiri wa madini ya nchi
  • Buluu iwee rangi ya amani

Ngao ni ile ya kikosi cha jeshi cha Emasotsha inayopatikana pia ndani ya nembo ya nchi. Rangi za ngao zinasomwa kukumbusha ya kwamba watu weusi na weupe huishi pamoja kwa amani.

Bendera hii ilianzishwa wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia kama alama ya kikosi cha Waswazi waliopigania vita upande wa Uingereza.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com