Bela Bartok
From Wikipedia
Bela Bartok (25 Machi, 1881 – 26 Septemba, 1945) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Hungaria. Alichunguza na kukusanya nyimbo za jadi kutoka maeneo yapakanayo na mto wa Danube.