1914
From Wikipedia
[edit] Matukio
- 28. Juni: Kaisari-mteule Ferdinand wa Austria anauawa mjini Sarajevo.
- 28. Julai: Austria inatangaza hali ya vita dhidi ya Serbia.
- Agosti: vita ya Austria-Serbia inapanuka kuwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
- Oktoba: Dola la Uturuki linajiunga na vita upande wa Ujerumani.
[edit] Waliozaliwa
- 31 Machi - Octavio Paz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1990)
[edit] Waliofariki
- 16 Machi - Charles-Albert Gobat (mwanasiasa Mswisi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902)
- 25 Machi - Frederic Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904)
- 2 Aprili - Paul Heyse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910)
- 21 Juni - Bertha von Suttner (mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905)
- 20 Agosti - Papa Pius X