1901
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 22 Januari - Mtakatifu Alberto Hurtado (padre Mkatoliki kutoka Chile)
- 29 Aprili - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 4 Agosti - Louis Armstrong (mpuliza tarumbeta wa Jazz)
- 8 Agosti - Ernest Orlando Lawrence (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939)
- 20 Agosti - Salvatore Quasimodo (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1959)
- 23 Septemba - Jaroslav Seifert (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1984)
- 5 Desemba - Werner Heisenberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932)
[edit] Waliofariki
- 7 Agosti - Oreste Baratieri, jenerali ya Kiitalia aliyeshindwa 1896 katika mapigano ya Adowa.