Wazyoba
From Wikipedia
Wazyoba ni kabila kutoka eneo la Ziwa Tanganyika, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania. Lugha ya Wazyoba inaitwa Kijoba [1].
Makala hiyo kuhusu "Wazyoba" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wazyoba kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |