Ruth Perry
From Wikipedia
Ruth Fahnbulleh Perry alikuwa ni kiongozi wa Liberia toka Septemba 3, 1996 hadi Agosti 2, 1997. Aliongoza nchi hiyo kama mwenuyekiti wa Baraza la Taifa ambalo liliongoza nchi hiyo kufuatia kuangushwa kwa Sajenti Samuel Doe na mwisho wa urais wa Amos Sawyer. Perry alikuwa ni mwanachama wa chama cha National Democratic Party cha Liberia.
Baada ya uchaguzi wa Urais hapo Julai 1997, Perru alimwachia madaraka Charles Taylor.