From Wikipedia
Neno ndege lina maana mbili kwa Kiswahili:
- Ndege (mnyama) ni aina wa wanyama ambao kwa kawaida wanaweza kuruka.
- Ndege (uanahewa) (au eropleni) ni kifaa kikubwa kinachoweza kuruka wakati kikiwa na watu au bidhaa ndani.
|
Ukarasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja.
Chagua maana uliyoikusudi.
Maelezo katika ukarasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukarasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.
|