Kenzaburo Oe
From Wikipedia
Kenzaburo Oe (amezaliwa 31 Januari, 1935) ni mwandishi kutoka nchi ya Japani. Hasa ameandika riwaya. Mwaka wa 1994 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.