Jinja
From Wikipedia
Jinja ni mji wa pili katika Uganda. Iko kando la ziwa Viktoria Nyanza takriban katikati ya Kampala na mpaka wa Kenya kwa umbali wa 90 km mashariki ya Kampala. Jinja iko kando ya chanzo ya Nile inapotoka katika ziwa Viktoria Nyanza. Kuna wakazi 106,000.
Jinja ni mji wa viwanda.
Makala hiyo kuhusu "Jinja" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Jinja kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |