Iyasu V
From Wikipedia
Iyasu V (4 Februari, 1887 – 25 Novemba, 1935) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 1913 hadi 27 Septemba 1916. Alimfuata babu yake, Menelik II. Jina lake la kubatizwa lilikuwa Kifle Yaqub. Kwa vile alipendekeza imani ya kiislamu hakuvishwa taji na aliuzuliwa. Aliyemfuata ni shangazi yake, Zauditu. Hali ya kifo chake haijulikani. Kilitangazwa mwezi wa Machi 1936 tu.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Iyasu V" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Iyasu V kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |