Hans Bethe
From Wikipedia
Hans Albrecht Bethe (amezaliwa 2 Julai, 1906) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa katika mji wa Strasbourg. Mwaka wa 1933 alihamia Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1967 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.