Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Chari - Wikipedia

Chari

From Wikipedia

Mto wa Chari
Mto wa Chari
Mto wa Chari
Mdomo Ziwa Chad
Nchi Jamhuri ya Afrika ya Kati, Chad, Kamerun
Urefu 1,200 km
Kimo cha chanzo 500 - 600 m
Mkondo  ??
Eneo la beseni 669,706 km²

Chari (Shari) ni mto mkuuwa kuingia Ziwa Chad. Inaanza katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ikielekea kaskazini na kuingia nchi ya Chad. Baada ya kupita mji mkuu N'Djamena mto ni mpaka na Kamerun halafu unaishia katika Ziwa Chad.

Chari inabeba 90% ya maji yaote ya kuingia ziwa la Chad. Idadi kubwa ya wakazi wa nchi ya Chad wanaishi karibu na mto pamoja na mji mkuu.

Wavuvi kwenye mto Chari
Wavuvi kwenye mto Chari

Watu wanapata maisha yao mtoni kwa kilimo na uvuvi hasa samaki ya sangara.

Tawimito muhimu ni Logone River, mengine ni Bahr Salamat, Bahr Sarh, Bahr Aouk na Bahr Keïta.

[edit] Viungo vya nje

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com