Arnold Janssen
From Wikipedia
Mtakatifu Arnold Janssen (5 Novemba, 1837 – 15 Januari, 1909) alikuwa padre Mkatoliki kutoka nchi ya Ujerumani aliyeanzisha mashirika ya wamisionari. Mwaka wa 2003 alitangazwa kuwa Mtakatifu.