1931
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 18 Februari - Toni Morrison (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1993)
- 7 Oktoba - Askofu Desmond Tutu
- 4 Novemba - Cleopa David Msuya, Waziri Mkuu wa Tanzania
[edit] Waliofariki
- 26 Februari - Otto Wallach (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1910)
- 8 Aprili - Erik Axel Karlfeldt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1931)
- 9 Mei - Albert Abraham Michelson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1907)