Brendan
From Wikipedia
Brendan (takriban 484 au 486 – takriban 578) alikuwa mtawa na padre kutoka nchi ya Ireland. Alianzisha monasteri mbalimbali hasa ile ya Clonfert mwaka wa 561. Aliitwa Mbaharia kwa vile alitembelea visiwa vingi katika Atlantiki ya Kaskazini. Alitambuliwa kuwa mtakatifu punde baada ya kifo chake. Sikukuu yake ni 16 Mei.
[edit] Viungo vya Nje
- Catholic Encyclopedia St. Brendan
- Biography at the Dictionary of Canadian Biography Online
- Navigatio sancti Brendani abbatis (Latin)
- Faroestamps.fo - Faroese stamp edition
- Brendan's Fabulous Voyage - 1893 lecture by John Crichton-Stuart, 3rd Marquess of Bute, available from Project Gutenberg
Makala hiyo kuhusu "Brendan" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Brendan kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |